Friday, July 17, 2009

WACHEZI WAPYA WA SIMBA


Wachezaji wa kigeni wa Simba toka Uganda, Emanuel Okwi na Joseph Owino walipotua jijini Dar es Salaam jana tayari kujiunga na klabu hiyo kwa msimu mpya wa Ligi Kuu uliopangwa kuanza Agosti 23.Kwa HISANI YA MWANASPOT

No comments:

Post a Comment