Sunday, July 12, 2009


Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama Rais jakaya M.Kikwete akiwa na mkuu wa majeshi Jenrali Davis Mwamunyange,waziri wa ulinzi(mwenye suti0na maofisa mbalimbali wa JWTZ katika mahafali ya kuwatunuku maofisa wapya vyeo katika chuo cha kijeshi cha Monduli.
(Picha/Gebo Arajiga)

No comments:

Post a Comment