Sunday, July 12, 2009

Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Baslio matei akionysha silaha aina ya AK-47 zilizokamatwa toka kwa majambazi katika eneo la wilaya ya Ngorongoro zilizokuwa zikitumika katika matukio ya kiuhalifu.

No comments:

Post a Comment