Tuesday, July 21, 2009

(1)Dar yazidi kupendeza hili ni jengo la NMB Dar-es-salaam zamani foreign branch kona ya barabara ya Jamuhuri street na Azikiwe Avenue.


(2)Hili ni jengo Benjamini Mkapa tower wakati wa magharibi linavyoonekana sie tuliotoka Dar muda mrefu tunaweza kupotea.Picha kwa hisani ya Issamichuzi blog

No comments:

Post a Comment