Friday, July 17, 2009Hizi ni picha mbalimbali za eneo maarufu duniani sehemu ambapo Dr Leakey akishirikiana na mkewe walifanikiwa kugundua masalia ya mifupa ya Binadamu wa kwanza 1954 na kuifanya sehemu hii kuwa maarufu dunia nzima na kukusanya watafiti toka vyuo vikuu mbalimbali duniani.Na hivi karibuni mwezi wa 8 Olap kwa kushirikiana na wadau wengine watafanya jubilee ya miaka 50 mwezi huu ujao wa nane kama kawaida Dr Njau na wataalamu wote watakuwepo kuhakikisha usiku huo wa jubilee unafanikiwa


No comments:

Post a Comment