Thursday, July 16, 2009


Askari wa usalama barabarani akimuhoji dereva wagari aina ya Datsun kwa kupakia mzigo mkubwa wa mikungu ya ndizi ikiingizwa mkoani Arusha toka Kilimanjaro bila kujali usalama wa barabarani,uzidishaji wa mzigo katika magari imeshamiri kwa kiasi kikubwa mkoani hapa.

No comments:

Post a Comment