Friday, July 17, 2009

Huu ni mwinuko maaarufu wa Oldubvai(Oldupai)sehemu ambayo ilitokea tetemeko na kuzama miaka elfu kadhaa iliyopita na ndio sehemu ambayo fuvu la binadamu wa kwanza alipatikana na Dr Leakey mwaka 1954.hivi karibuni mwezi wa nane itafanyika bonge la jubilii ya miaka 50 itakayofanywa na Olap pamoja na vyuo vikuu mbalimbali vinavyofanya utafiti katika eneo hili.

No comments:

Post a Comment