Friday, July 17, 2009


Hii Ni sehemu ambayo Dr Leakey pamoja na mkewe walipofanya utafiti na kungundua sehemu aliyekuwepo binadamu wa kwanza mwaka 1954 hadi leo sehemu hii ya (Oldupai)Olduva imekuwa maarufu dunia nzima ikiwa na Geologist toka vyuo vikuu mbalimbali duniani kwa ajili ya utafiti.Hapa wakifanya moja ya kumbukumbu iliyofanywa na Olap.

No comments:

Post a Comment