KARIBUNI KATIKA BLOG HII YA KIJAMII ITAKAYOKUWA IKIWALETEA PICHA NA MATUKIO MBALIMBALI TOKA KATIKA KANDA YA KASKAZINi MWA TANZANIA PAMOJA NA MATUKIO MBALIMBALI DUNIANI
Sunday, July 12, 2009
Hii ni stendi ya mkoa wa arusha invyoonkana toka juu wanachi anaitaka Manispaa ya Arusha kuzungshia ukuta stendi hii kutokana na usalama wa abiria kuwa mdogo kutokana na muingiliana na watu wafanyabiashara na wasfiri.
Ni Mtanzania mwenye umri wa miaka 24 mkazi wa Esso mjini arusha,ni kijana ambaye hupenda kuongela maendela ba mustakabali wa nchi yetu kiuchumi,kisiasa na kijamii
No comments:
Post a Comment