
Hawa ni watotot wanaoishi karibu na makumbusho ya kale la bonde la Olduvai katika njia panda ya kwenda Serengti wakisubiri watalii kwa ajili ya kuomba chochote.
KARIBUNI KATIKA BLOG HII YA KIJAMII ITAKAYOKUWA IKIWALETEA PICHA NA MATUKIO MBALIMBALI TOKA KATIKA KANDA YA KASKAZINi MWA TANZANIA PAMOJA NA MATUKIO MBALIMBALI DUNIANI
No comments:
Post a Comment